BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Infantino aomba radhi, lakini uongozi wake FIFA watiliwa shaka
Rais wa FIFA, Gianni Infantino, ameomba radhi kwa Baraza la FIFA kufuatia dosari katika mawasiliano na mashauriano kuhusu mpango wa Fifa Forward Enterprise (FFE), uliopendekeza kuhamisha sehemu ya haki za kibiashara za FIFA kwa kampuni binafsi ya uwekezaji.
Wanasayansi wabainisha mbinu 5 zakukufanya uwe na Mvuto zaidi
Katika zama hizi za mitandao ya kijamii na kukua kwa teknolojia ambapo watu wengi wanajali sana kuwa na mvuto kwenye jamii, wanasayansi wamebainisha mbinu 5 zinazoweza kukusaidia kufikia lengo hilo bila kubadili muonekano wako.
Enzi ya droni za kuzuia mashambulizi inafikia kikomo: Kwa nini hali hii imetokea na nini kitachukua nafasi yake?
Ubunifu wa Ukraine kwa kiasi kikubwa uliondoa tishio la droni za kawaida za Shahed, lakini umeshindwa kukabiliana na zile zinazoendeshwa kwa injini za ndege. Nini kitafuata?
Kwa nini Marekani inafikiria kutumia 'Mama wa Mabomu Yote' dhidi ya Iran?
Mtandao wa CNN umenukuu vyanzo vyenye taarifa kuhusu mipango hiyo vikisema kuwa jeshi la Marekani linafikiria uwezekano wa kutumia bomu la GBU-43/B, linalojulikana kama “Mama wa Mabomu Yote”, kushambulia miundombinu ya nishati na maeneo ya nyuklia ya Iran.
Joseph Kabila azindua FRN: Je, malengo yake ni yapi mbele ya mamlaka ya Tshisekedi?
Hatua ya Kabila kuongoza uasi huo imeelezwa na wachambuzi kama mabadiliko makubwa kwa mazingira ya kijeshi, kisiasa na kidiplomasia nchini DRC.
Thomas Sankara: Mauaji yaliyobadili Afrika na urithi uliodumu kwa vizazi
Kwa wengi, Sankara hakuuawa tu kama rais wa Burkina Faso. Aliwakilisha maono ya Afrika inayojitegemea, inayojiamini na inayotafuta mustakabali wake kwa misingi ya maslahi ya wananchi wake.
Jinsi kifo cha Raila Odinga kilivyovuruga mahesabu ya Ruto
Kadiri ramani ya kisiasa inavyoendelea kubadilika, ndivyo inavyodhihirika kuwa kutokuwepo kwa mwanasiasa huyo mkongwe kumeleta fursa na changamoto kwa wakati mmoja.
Jinsi ya kutambua matunda yaliyoivishwa kwa kutumia kemikali
Unawezaje kujua kama tunda unalonunua sokoni halina sumu? Je, unaweza kubaini hili kwa kuliangalia tu tunda hilo?
Kwa nini intaneti ya Starlink ni muhimu sana katika uwanja wa vita nchini Ukraine?
Setilaiti za Starlink zinazoendeshwa na SpaceX ya Elon Musk hutoa intaneti ya kasi kubwa - kitu ambacho vita vya kisasa hutegemea sana.
Mwaka mmoja bila Raila: Ni nani amenufaika zaidi na pengo aliloacha katika siasa za Kenya?
Hakuna mwanasiasa mwingine katika historia ya kisasa ya Kenya ambaye ameacha pengo la kisiasa linalozua mjadala mkubwa kama Raila Odinga.
Kwa nini Mojtaba Khamenei anaichukulia Iran kuwa taifa lenye nguvu zaidi duniani?
Madai ya hivi karibuni ya Mojtaba Khamenei kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni "nguvu inayoongoza duniani" kulingana na "hesabu za kiungu" yameibua mijadala na majaribio ya kufafanua dhana hii miongoni mwa vyombo vya habari na taasisi zilizo karibu na serikali.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Joseph Kabila: Kutoka urais hadi kuongoza muungano unaojumuisha M23
Kwa zaidi ya miongo miwili, Joseph Kabila Kabange amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za DRC.
Mwaka mmoja baada ya Raila: Nini kimebadilika?
Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga kimeacha alama kubwa katika siasa za Kenya, huku mjadala ukiendelea kuhusu urithi wake na mwelekeo wa kisiasa alioujenga kwa zaidi ya miongo minne.
Mataifa saba yanayolipa mshahara mkubwa zaidi Afrika
Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Kenya iliwapiku majirani zake Tanzania, Uganda na Rwanda, lakini ikabaki nyuma ya Djibouti, ambayo ndiyo iliyoongoza sio Afrika Mashariki pekee bali pia bara zima kwa wastani wa dola 2,836 kwa mwezi.
'Mwaka mmoja bila Polepole umekuwa mgumu sana'- Familia
Kaka yake, Godfrey Polepole, ameiambia BBC kuwa familia imekuwa ikipitia kipindi kigumu tangu kutoweka kwa ndugu yao, huku juhudi za kumtafuta zikigonga mwamba.
Wafahamu wafanyabiashara wenye utata kama Wicknell Chivayo
Kilichowaunganisha wengi wao ni simulizi ya kuanzia maisha ya kawaida au ya umaskini na baadaye kufikia utajiri mkubwa na ushawishi wa kisiasa au kijamii.
Kwa nini Marekani iliziondoa kwa ghafla ndege zake za kurusha mabomu kutoka Uingereza?
Hatua ya ghafla na ya kina ya kuondolewa kwa ndege nzito za Marekani zenye uwezo wa kubeba mabomu siku ya Jumapili ilikuja kwa kasi kiasi cha kuacha kila mtu akijiuliza ni nini kilichosababisha hatua hiyo
Mambo 5 muhimu kuhusu mradi wa kiwanda cha mafuta cha Dangote nchini Kenya
Mradi huo unatajwa kuwa miongoni mwa miradi mikubwa zaidi ya miundombinu kuwahi kutekelezwa nchini Kenya tangu ilipopata uhuru.
Miji bora zaidi duniani mwaka 2026 na siri za mafanikio yake
Ni nini kinachoufanya mji uwe wa kuvutia kiasi cha watu kutaka kuishi humo, kufanya kazi au hata kuutembelea?
Sir Wicknell alipataje utajiri wake?
Chivayo ameacha kampuni, mali na mahusiano na watu wenye ushawishi, lakini pia ameacha maswali ambayo huenda baadhi ya majibu yake ameondoka nayo.
Uvumbuzi 9 wa kijeshi wa ajabu zaidi kuwahi kubuniwa duniani
Wasovieti walihitaji njia ya kuzuia vifaru vya Wanazi haraka. Afisa mmoja akatoa pendekezo la kikatili na la kushangaza: kwa nini wasitumie mbwa?
Teknolojia 5 zinazombadilisha binadamu kuwa nusu mashine
Kuruka angani kwa muda mrefu kumekuwa ndoto ya binadamu, kuanzia simulizi ya Kigiriki la Icarus hadi magari yanayoruka yaliyooneshwa katika filamu za sayansi ya kubuni kama Blade Runner.
Edward Rukidi Kijanangoma: Kutoka uwanahabari hadi ufalme wa Tooro Uganda
Mwanahabari Kijanangoma anapanda kwenye kiti cha ufalme wa Tooro huku mzozo wa kumrithi marehemu Mfalme Oyo ukiendelea.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Afya yako
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 16 Oktoba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 16 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 16 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 15 Oktoba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































