Mbunge wa kenya ameondoshwa bungeni baada ya kuingia na mwanae
Iliyochapishwa
Shughuli za bunge la taifa zilisitishwa Jumatano baada ya mbunge wa kiti cha wanawake kaunti ya Kwale kuingia bungeni na mtoto wake ambapo aliambiwa na mwakilishi wa Spika kuwa Bunge sio mahala pa kumlelea mtoto wake