Harry Maguire: Kesi ya nahodha wa Manchester United yaanza

Maelezo ya sauti, Harry Maguire: Kesi ya nahodha wa Manchester United yaanza
Iliyochapishwa

Kesi ya nahodha wa Manchester United imeanza katika kisiwa cha Ugiriki cha Syros. Mchezaji huyo wa soka aliachiliwa kutoka kizimbani siku ya Jumamosi baada ya kukamatwa Alhamisi kwa madai ya kusababisha vurugu.