Maoni ya mashabiki wa soka kuhusu Samatta kujiunga na Fenerbahce ya Uturuki

Maelezo ya video, Mashabiki wanasema nini juu ya Samatta
Iliyochapishwa

Mshambuliaji wa timu ya soka nchini Tanzania Mbwana Samatta amejiunga na klabu ya Uturuki Fenerbahce kwa mkataba wa miaka minne kutoka Aston Villa.

Klabu hiyo imeandika katika mtandao wake kwamba imemuongeza nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania katika kikosi chake kwa mkataba wa miaka minne.

Lakini je mashabiki wake wanasema nini?