Tetesi kubwa tano za soka Ulaya jioni hii

alfonso
Maelezo ya picha, Marcos Alonso
Iliyochapishwa

Barcelona imesalia katika mazungumzo na Chelsea juu ya kiungo wa nyuma-kushoto wa uhispania - Marcos Alonso na wanaimani watafikia makubaliano ya kusaini mkataba na mchezaji huyu mwenye umri wa miaka 31. (90min)

Crystal Palace wana nia ya kusiani mkataba na beki Muingereza Aaron Wan-Bissaka, 24, kutoka Manchester United. (Sky Sports)

Onana
Maelezo ya picha, Amadou Onana

Everton wamejipanga kuipuku West Ham katika kusaini mkataba na kiungi wa kati wa Mbelgiji Amadou Onana, 20, kutoka Lille. (Mirror)

Chelsea huenda wakatakiwa kuvunja rekodi ya dunia ya gharama pauni milioni 80 ya uhamisho kwa ajili ya mlinzi – iliyokuwa inashikiliwa na Harry Maguire wa Manchester United – ili waweze kusaini mkataba na kiungo wa kati-nyuma Mfaransa Wesley Fofana, 21, kutoka klabu ya zamani ya Maguire Leicester City. (Telegraph)

Tottenham wanapanga kukamilisha mkataba na Udinese kwa ajili ya mlinzi Muitalia mwenye umri wa miaka 19- Destiny Udogie wiki ijayo. (Fabrizio Romano)