Habari za Global Newsbeat 1000 05.10.2017
Iliyochapishwa
Kampuni ya teknolojia, google, imezindua vinasa sauti ama headphones mpya vilivyo na uwezo wa kutafsiri lugha 40 kwa wakati halisi. Vifaa hivyo vilionyeshwa vikitafsiri kizungu na kiswidi.