Wagombea urais

Iliyochapishwa

Uchaguzi huu ni wa pili tangu mfumo wa siasa za vyama vingi urejelewe nchini Uganda mwaka wa 2005 na kufanyika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka uliofuata wa 2006.

Je mara hii ni akina nani wanaogombania kiti cha urais na ni akina nani na wangapi wote.

Mwandishi wetu wa kampala Siraj kalyango anatupasha zaidi.