Wahamiaji 26 hawajulikani waliko

Wahamiaji 26 hawajulikani waliko
Maelezo ya picha, Wahamiaji 26 hawajulikani waliko
Iliyochapishwa

Ugiriki inasema kuwa inawatafuta wahamiaji 26 ambao inaamika kuwa huenda hawajulikani waliko baada ya mashua yao kuzama nje ya kisiwa cha Lesbos katika bahari ya Aegean.

Wahamiaji wengine 20 waliokolewa . Wakimbizi 10,000 wengi kutoka nchini Syria wamewasili nchini Ugiriki kutoka pwani ya Uturuki mwaka huu.