Mjadala wa Machakos kwa Picha

Iliyochapishwa

Wakazi wa Machakos walizungumza na viongozi wao wakijadili mipango ya kukuza mji huo kuwa jiji kuu.

Serikali ya kaunti ya Machakos inanuia kuendeleza mji huu kuwa jiji.
Maelezo ya picha, Serikali ya kaunti ya Machakos inanuia kuendeleza mji huu kuwa jiji.
Viongozi wa kaunti wanaalika waekezaji kutoka nje ili kuinua biashara na sekta tofauti za uchumi.
Maelezo ya picha, Viongozi wa kaunti wanaalika waekezaji kutoka nje ili kuinua biashara na sekta tofauti za uchumi.
Hela kutokana na wekezaji ndizo zinatarajiwa kuendeleza kaunti.
Maelezo ya picha, Hela kutokana na wekezaji ndizo zinatarajiwa kuendeleza kaunti.
Wengi hawaelewi ni njia gani ambayo watanufaika ikiwa Machakos itakuwa jiji.
Maelezo ya picha, Wengi hawaelewi ni njia gani ambayo watanufaika ikiwa Machakos itakuwa jiji.
Wakazi wa Machakos walipata nafasi kuwauliza viongozi wao maswali kuhusu mada hii.
Maelezo ya picha, Wakazi wa Machakos walipata nafasi kuwauliza viongozi wao maswali kuhusu mada hii.
Pia walijadiliana kuhusu maendeleo ya kaunti kwa ujumla.
Maelezo ya picha, Pia walijadiliana kuhusu maendeleo ya kaunti kwa ujumla.
Waliweza kusema matarajio yao kutokana na mipango mengi ambayo yamependekezwa.
Maelezo ya picha, Waliweza kusema matarajio yao kutokana na mipango mengi ambayo yamependekezwa.