Mahojiano ya BBC na Obama

Iliyochapishwa

BBC imepata fursa ya kufanya mahojiano ya kipekee ya ana kwa ana na rais Barack Obama. Miongoni mwa masuala yaliyojitokeza ni hilo suala la mauaji ya kikatili yanayofanywa na washambuliaji nchini Marekani.

Miongoni mwa masuala ambayo rais Obama atazungumzia ni Ufisadi nchini Kenya, ukiukaji wa haki za binadamu na hasa amesema hata sita kugusia suala la wapenzi wa jinsia moja amba

Tumekutafsiria mahijiano hayo ambayo unasikia katika BBC pekee redio televisheni na mtandaoni.