Picha: Tanzania na Brazil

Iliyochapishwa

Mechi ya kirafiki iliyochezwa Dar es Salaam

Kocha wa Tanzania katikati akiongea na kocha wa Brazil mwenye rangi nyeupe
Maelezo ya picha, Kocha wa Tanzania, Marcio Maximo [katikati] akiongea na wenzake ndani ya uwanja wa Taifa. [Picha na Josephat Mwanzi/ BBC]
Baadhi ya wachezaji wa Brazil wakiwa katika benchi kwa pozi wakati mechi hiyo
Maelezo ya picha, Baadhi ya wachezaji wa Brazil wakiwa katika benchi kwa pozi wakati wa mechi hiyo. [Picha na Josephat Mwanzi/ BBC]
Baadhi ya wachezaji wa akiba wa timu ya stars wakifuatilia mpira kwa makini
Maelezo ya picha, Baadhi ya wachezaji wa akiba wa timu ya stars wakifuatilia mpira kwa makini. [Picha na Josephat Mwanzi/ BBC]
Taifa stars wakiwa wamejipanga na watoto kabla ya mechi
Maelezo ya picha, Taifa stars wakiwa wamejipanga na watoto kabla ya mechi. [Picha na Josephat Mwanzi/ BBC]
Timu ya Brazil ikiwa imejipanga uwanjani kabla ya Rais Kikwete, mgeni rasmi wa mechi hiyo, kukagua mechi zote.
Maelezo ya picha, Timu ya Brazil ikiwa imejipanga uwanjani kabla ya Rais Kikwete, mgeni rasmi wa mechi hiyo, kukagua timu zote. [Picha na Josephat Mwanzi/ BBC]
Waandishi wa habari wa kimataifa wakichukua taarifa muhimu kabla ya kuanza mechi
Maelezo ya picha, Waandishi wa habari wa kimataifa wakichukua taarifa muhimu kabla ya kuanza kwa mechi. [Picha na Josephat Mwanzi/ BBC]
Mashabiki Tanzania wakishangilia goli dhidi ya Brazil
Maelezo ya picha, Mashabiki wa Tanzania waliwasha mwweko baada ya Tanzania kuifunga Brazil katika mechi ya kirafiki mjini Dar es Salaam, Tanzania Jumatatu Juni 7, 2010. Brazil inajiandaa kwa Kombe la Dunia, ambapo watacheza Kundi G. [Picha na Rebecca Blackwell/AP]
Wachezaji wa Tanzania wakishangilia goli pekee lililofungwa na Jabir Aziz, wa pili kushoto. [Picha na Rebecca Blackwell/AP]
Maelezo ya picha, Wachezaji wa Tanzania wakishangilia goli pekee lililofungwa na Jabir Aziz, wa pili kushoto. [Picha na Rebecca Blackwell/AP]
Shabiki mmoja wa Kitanzania alikimbia katikati ya uwanja na kuvuruga mchezo huo, lakini aliondoshwa na majeshi ya usalama. [Picha na Rebecca Blackwell/AP]
Maelezo ya picha, Shabiki mmoja wa Kitanzania alikimbia katikati ya uwanja na kuvuruga mchezo huo, lakini aliondoshwa na majeshi ya usalama. [Picha na Rebecca Blackwell/AP]
Robinho wa Brazil, kushoto, akipiga mkwaju mbele ya Stephano Mwasika wa Tanzania kufunga goli la kwanza. [Picha na Rebecca Blackwell/AP]
Maelezo ya picha, Robinho wa Brazil, kushoto, akipiga mkwaju mbele ya Stephano Mwasika wa Tanzania kufunga goli la kwanza. [Picha na Rebecca Blackwell/AP]
Mshambuliaji wa Brazil, Robinho, kulia, akishangilia goli lake dhidi ya Tanzania na Kaka katika mechi hiyo. [Picha na Tony Karumba/AFP/Getty Images]
Maelezo ya picha, Mshambuliaji wa Brazil, Robinho, kulia, akishangilia goli lake dhidi ya Tanzania na Kaka katika mechi hiyo. [Picha na Tony Karumba/AFP/Getty Images]