West Ham yasonga mbele Europa league Chanzo cha picha,
Maelezo ya picha, Mashabiki wa West Ham Iliyochapishwa 24 Julai 2015
Ligi ya Europa iliendelea hapo jana ambapo West Ham ya England imesonga mbele katika hatua ya mzunguko wa tatu baada ya kuiondoa Birkirkara ya Malta kwa penalt 5-3.
Matokeo mengine haya hapa chini
Newtown AFC 1 - 3 FC Copenhgn
Astra Giurgiu 0 - 0 Inverness CT
Aberdeen 2 - 2 HNK Rijeka
Birkirkara FC 1 - 0 West Ham
West Ham United imeshinda 5-3 kwa penalti
Linfield 1 - 3Spartak Trnava Soma zaidi
Shirak FC 0 - 2 AIK
Alashkert FC 2 - 1 Kairat Almaty
Debrecen 9 - 2 Skonto Riga
Dinamo Minsk 4 - 0 Cherno More Varna
FK Qabala 2 - 0 FK Cukaricki
FK Spartaks Jurmala 1 - 1 FK Vojvodina
Inter Baku 2 - 2 FH Hafnarfjördur